Nassari Achaguliwa Tena Kupeperusha Bendera ya Chadema

Joshua Nassari akizungumza na wapiga kura wake
Joshua Nassari akizungumza na wapiga kura wake


Mbunge wa Arumeru Mashariki mkoani Arusha,Joshua Nassari amechaguliwa tena kupeperusha bendera ya chama cha Chadema jimboni humo katika uchaguzi utakaofanyika mwezi oktoba mwaka huu, Nassari akizungumza na wapiga kura wake amesema kuwa yuko tayari kuendela kuwatumikia wakazi wa jimbo lake kwa kipindi kingine.
Katika uchaguzi wa kura za maoni za kumchagua mgombea ubunge jimbo la Arumeru Mashariki kwa tiketi ya chama cha Chadema Nassari alipata kura 387 na kura 2 za hapana.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment