Wakazi wa Tanga Hiii Ni Zamu Yenu sasa Kucheza Singeri na Kuimba Pamoja na Aidaly classic, G Stanza, BX-B.O.B

Florida Club kushirikiana na Jerry Pamba Kali wanakushushia wasanii wakali ndani ya Mkoa wa Tanga siku ya Ijumaa tarehe 31 July, 2015 ... Usiulize wanakuja kufanya nini .... hapo kazi ni moja tu.. yaani hakuna kulala.

Itakushushia G Stanza, Bx - B.O.B pamoja na Mkali wa watoto yaaani Aidaly Classic mzee wa LOngo longo ndani ya Jiji la Waja leo waondoka leo.

Hii si ya kukosa fanya uwepo ndani ya Florida Club siku ya Ijumaa tarehe 31 July, 2015.... Upate kucheza Singeri Segumbo 

Kiingilio ni Sh. 3,000/- tuuu

Bofya hapa kusikiliza


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment