Lowasa Aliutaka Urais sana Wapambe Waliutaka Maradufu


Kaprteni mstaafu Edward Ngoyayi Lowassa amesubiri kwa miaka 20 kutimiza ndoto yake ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini imekuwa kama ndoto ya alinacha imekatika ghafla mchana kweupe.

Viakao muhimu vya Chama cha Mapinduzi (CCM), hususan kile cha kamati ya Maadili na Usalama pamoja na Kamati Kuu ndivyo ‘vinavyolaumiwa’ kuikatisha safari ya Matumaini ya Mbunge huyo wa Monduli.





Magufuli, Slaa patachimbika

Dokta John Pombe Joseph Magufuli ndiye mteule wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) katika kiny’anganyiro cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015 baada ya uliowahusisha makada 42 wa chama hicho na kuibuka na ushindi mkubwa wa asilimia zaidi ya 80.


Waziri huyo wa Ujenzi ameleta mapinduzi ndani ya CCM akiwashangaza wengi kwa kupenya kimya kimya kama ilivyokuwa wakati wa kuchukua fomu Mei 29, 2015 na ukimya wake ndio umemfanya aepuke mikwaruzo na mivurugano ya makundi ambayo imewafanya baadhi ya waliokuwa wakipewa nafasi kubwa kuangukia pua.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment