Wimbo Mpya: Aidaly Classsic - Longo Longo Download na Usikilize Bureeeee


Je wewe unapenda mziki mzuri kama unapenda bhasi huu ndio wakati wako nakuletea tena Msanii wako umpendae Aidaly Classic safari hii amekuletea karibu ngoma yake mpya itwayo ‘Longo longo’ ambayo imetengenezwa Producer Taita katika studio za Big Base Record.

Kichupa cha ngoma hiki kinatarajiwa kuanza kufanyika Agusti 10 mwaka huu chini ya Director mkali hapa Town sio mwingine ni Hancana na Khalfan, Location ni New Africa Posta.

Wale Video Quen wanahitajika katika kukamilisha kichupa hiki cha Longo Longo fanya kama kupiga namba hizi +255 654 594 782 ili upate nafasi ya kuwa Video Quen wa Longo Longo Saasasaaaaa. AU sioooooo hakuna tatizo

Bofya hapa chini Kusikiliza ngoma kali



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment