Team Lowasa Kujiunga na CHADEMA


































































Kuna taarifa kwamba vijana (team Lowassa) wa aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivi wako na Dar es Salaam na wanajipanga kujiunga na Chadema. Taarifa hizo zimesambaa tangu juzi na hata kwenye mitandao ya kijamii zimeanza kusabaa.
Moja ya taarifa imesomeka hivi: “team lowasa,youth movement,vijana Ccm ,team lowasa Dar wanakutana na waandishi wa habari kuhamia CDM.”

Taarifa hizi bado hazijathibitishwa na viongozi wa Chadema, lakini huenda yanayosemwa hivi sasa ndiyo yanayokwenda kutokea leo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment