SNOOP DOG MBARONI SWEEDEN ALALAMIKA KUFANYIWA VITENDO



Snoop lion dog alikuwa na show Sweeden, lakini hakumaliza salama kama ambavyo ilitegemewa baada ya kukamatwa na polisi kwa kuhisiwa kuwa amefanya matumizi makubwa ya Bange na dawa za kulevya.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Snoop amelalamikia vitendo vya kiunyanyasaji na kiubaguzi alivyofanyiwa na polisi hao akidai kuwa hakuwa na kosa lolote alilolifanya.

Baada ya kuhojiwa na kufanyiwa ‘drug test’ masaa kadhaa, mkali huyo aliachiwa huru ‘but’ ni ‘too bad’ kwa wapenda Hip Hop Sweeden rapper huyo katangaza hatokanyaga tena nchini humo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment