Aliyekuwa Mbunge wa NCCR -Mageuzi, Bw. Moses Machali Athibitisha Kujiunga na ACT Wazalendo

Mbunge wa NCCR-Mageuzi, Moses Machali amethibitisha kwamba ametua rasmi katika chama cha ACT Wazalendo.

 Amesema kwamba atazungumza rasmi katika mkutano wa ACT utakaofanyika Julai 21, mwaka huu. Mkutano huo utakuwa maalumu kwa ajili ya kumtambulisha.

Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Msafiri Mtemelwa alisema kuwa pia aliyekuwa Mwenyekiti wa Kitengo cha Vijana wa NCCR-Mageuzi, Dei Meck naye amejiunga na ACT- Wazalendo
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment