Davido athibitisha kuwa collabo ya kimataifa inayofata anafanya na Rihanna

 Muimbaji wa Nigeria, David Adeleke a.k.a Davido ameweka wazi kuwa msanii anayefata kufanya naye collabo ni bibie Rihanna.


Staa huyo ambaye anawania vipengele vitatu kwenye tuzo za MTV MAMA , aliulizwa swali na shabiki kwenye mtandao wa Twitter, kuwa ni msanii gani mwingine wa kimataifa wa nje ya Afrika anayetarajia kufanya naye collabo? Na Davido akamjibu kuwa ni wengi lakini anayefata ni Rihanna.

Hata hivyo hakutoa maelezo zaidi kama ni lini watafanya collabo hiyo na kama itakuwa kwenye album hii anayotarajia kutoa au ni mpango wa baadaye. Katika album yake mpya anayotarajia kuitoa mwezi ujao, Davido amewashirikisha wasanii wakubwa wa kimataifa akiwemo, Trey Songz, Meek Mill na Akon.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment