Makongoro Nyerere, Sospeter Muhongo Sasa Waamua Kugombea Ubunge Baaada ya Kupigwa Chini Urais


Baada ya kutoswa kuteuliwa kugombea urais, Makongoro Nyerere na Sospeter Muhongo sasa wameamua kugombea ubunge.

Charles Makongoro amejitosa kuwania ubunge Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam ambalo linaongozwa na mbunge wa Chadema, Halima Mdee.

Profesa Muhongo ametangaza kugombea ubunge Musoma mjini. Jimbo hilo linaongozwa na Vicent Nyerere wa Chadema.

Kwa mtazamo wa haraka inaonekana Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepania kurejesha majimbo yaliochukuliwa na upinzani.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment