Baada ya kukosa dada wa kukaa na mwanae,Ciara ameamua kuchukua uamuzi huu..................

Msanii maarufu wa RnB Ciara hivi karibuni alifanya interview kuzungumzia maisha yake ya kuwa mama yakoje na anawezaje kuwa mama na mtumbwizaji kwa wakati mmoja. Ciara alikuwa na mengi ya kuongea kuhusu life yake  ya sasa hivi.
Kikubwa alichokisema Ciara kwenye interview hiyo ni kwamba ameamua kumuajiri baba yake baada ya kufanya interview nyingi na kukosa dada atakayefaa kushinda na mwanae. Akaliongelea suala hilo, Ciara alikuwa na haya ya kusema.
>>> “Mwanangu yupo na mimi muda wote, na popote nitakapo kwenda yeye yupo. Pili mazingira ambayo mimi nipo muda mwingi yamezungukwa na wanawake wengi, nilitaka nihakikishe mwanangu atakuwa kwenye mikono salama”
zahir 2
Ciara, akiwa na baba yake pamoja na mwanae.
>>> “nilifanya maamuzi ya kumuajiri baba yangu baada ya kufanya interviews kama 20 na kukosa dada atakayefaa kushinda na mwanangu, sababu nyingine iliyonisukuma kufanya hivi ni mazingira yanayonizunguka, yana wanawake wengi nikaona hii itamuathiri mtoto kisaikolojia"
Share on Google Plus

About HAPPILICIOUS

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment