Picha: Tazama Mkutano wa Lowassa ulivyokuwa Jijini Arusha Hiyo Jana

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa jana aliwashukuru wananchi na wana CCM wa mkoa wa Arusha walioijitokeza wakati akiomba wadhamini ambapo aliweza kupata jumla ya wadhamini 120,335 kutoka mkoani humo.

Maelfu ya wana CCM na wakazi wa jijini Arusha walifurika kwenye uwanja wa msiki ambao huko jirani na makao makuu ya ofisi za CCM mkoani Arusha.
Lowassa akiwa na mke wake
Lowassa akiwa na mke wake
Lowassa akisalimiana na madaktari
Lowassa akisalimiana na madaktari
Lowassa akipokea majina ya wadhamini
Lowassa akipokea majina ya wadhamini
Mtia nia ya urais kupitia CCM Edward Lowassa akiwasalimia wananchi
Mtia nia ya urais kupitia CCM Edward Lowassa akiwasalimia wananchi
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment