SUPERHERO BEYONCE KAONEKANA KWENYE MOVIE YA AVENGERS

Beyoncé naye kuonekana kwenye movie ya Avengers kama mmoja wa 'superhero'! 

 Kwanzia movie ya Avengers imetoka imewagusa wengi kutokana na kuwapeba ma staa wengi ambao wamekuwa wakisifika kwa kucheza movie zenye kusadikika 'Superhero, Superpower, super natural power'

Production ya Marvel inaweza kumchukua mwanamuziki na mcheza filamu Beyoncé akashiriki na yeye kwenye filamu hiyo, Hii ni kwamujibu wa The Daily Star.

Milikiwa wa Marvel na Disney wanaaamini kuwa watapata mkwanja wa kutosha endapo watamuweka acheze pamoja na Scarlett Johansson na
Elizabeth Olsen


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment