Breaking News: Mpambe wa Lowasa Apigwa Risasi Arusha
























Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Mathias Manga, bilionea wa jiji la Arusha, na Diwani wa Kata ya Mlangarini Arumeru Magharibi (CCM), amepigwa risasi na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akielekea nyumbani.

Imeelezwa kuwa watu hao walifanya jitihada zote lengo ilikuwa ni kumteka lakini mfanyabiashara huyo alijitetea mpaka akajitoa ndio wakaamua kumpiga risasi.

Niko nafuatilia kwa karibu kujuwa soon nitawapa updates japo kwa habari za haraka haraka wanasema kuna siasa ndani yake.

Kutokana na shambulio hilo waziri mkuu wa zamani na mtangaza nia ya kugombea urais wa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa amemtumia salamu za pole.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment