Azam Media LTD wameingia ubia na shirikisho la soka Uganda kuidhamini ligi kuu ya nchi hiyo ambayo itakuwa ikiitwa Azam Premier League kwa kitita cha dola za Kimarekani milioni 2 ni sawa sawa na fedha taslimu za kitanznia bilion. 5.5
Katika ubia huo timu shiriki 16 zitapata mgao wa milioni 60 kwa mwaka, fedha ambazo zitasaidia vilabu hivyo kujiendeleza zaidi na kumudu gharama za uendeshaji.
Kufanyika kwa makubaliano hayo ni historia mpya katika ramani ya soka nchini Uganda ambayo inatarajia mabadiliko makubwa kama ilivyo kwa Ligi Kuu ya Vodacom nchini Tanzania.
0 comments:
Post a Comment