Breaking News: Jumba la Kibiashara Lateketea kwa Moto Nchini Nigeria

Habari zilizotufikia hivi punde kutoka nchini Nigeria zinasema kwamba jengo kubwa la kibiashara la nchi hiyo Berlin market limeteketea kwa moto ambao haujajulikana chanzo chake.
Mashuhuda wa tukio hilo wamesema moto huo umeanza kuwaka muda wa saa 4 asubuhi ukianzia  ghorofa ya juu.
Chanzo cha habari kinaeleza kuwa thamani halisi ya mali iliyoteketea bado haijafahamika kwa muda huu.
Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo;



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment