Msanii Flora Mvungi amewaonya baadhi ya wasanii wenzake kuacha tabia ya kutoa mimba.
Flora amesema ni fahari kuwa na mtoto, hivyo wasanii wanapobahatika kupata ujauzito wanapaswa kuikubali hali hiyo, waweze kujifungua.
“Jamani, ukweli ndiyo huo. Kuwa na mtoto ni furaha sana, kama wasanii yatupasa kufanya kila linalowezekana kuwalea na kuwatunza watoto,” alisema muigizaji huyo.
Flora, ameigiza filamu kadhaa na kung’ara katika kazi mbalimbali alizoshirikishwa.
0 comments:
Post a Comment