Mchezaji Wilfried Bony amesajiliwa Man City kutoka Swansea kwa ada ya euro milioni 25.
Klabu ya Manchester City imekamilisha usajili wa mchezaji Wilfried Bony.
Shirikisho la mpira la Ivory Coast limethibitisha kuwa mchezaji huyo amesajiliwa kwa kitita cha euro milioni 25 kutoka kwenye klabu ya Swansea City.
Manchester City ilikubaliana na malipo ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 wiki iliyopita.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment