![]() |
Mwanamitindo maarufu Flaviana Matata amekuwa akifanyia shughuli zake za uanamitindo nchini Marekani. |
Kimwana huyo alisema mumewe mtarajiwa naye ni raia wa Tanzania anaishi Marekani.
Pamoja na kutotaka kutaja jina la mchumba wake alisisitiza watafunga ndoa hivi karibuni.
Flaviana amekuwa na mafanikio makubwa tangu aliposhiriki mashindano Miss Universe ambapo kwa kiasi kikubwa yalimuweka kwenye ramani nzuri ya urembo duniani na kukutana na wabunifu mbalimbali wa kimataifa akiwemo Russel Simmons.
0 comments:
Post a Comment