Muigizaji wa kike Elizaberth Michael‘ Lulu’ ameeeleza kuwa wasanii wa kike wa filamu wanabiashara nyingine iliyojificha ndani ya ile ya filamu ambayo inawalipa zaidi.
Lulu alisema kuwa wasanii hao wanawategemea mapedejee “Ukweli hauko hivyo, hali hii inatokana na wengi wetu kudumaa na hatuwazi kufanya mambo makubwa kwa kuigiza na wasanii wakubwa lakini hakuna anayeliona hili,” alifafanua.
“Hakuna anayefirikiria kuigiza na wasanii wa kimataifa kama Ritha Dominic ili sanaa imlipe na wengi wanawategemee mapedejee au biashara zisizo rasmi, kwani filamu inaonekana ipo juu lakini wahusika wake wanalipwa kwa staili nyingine kabisa,” alisema.
Credit: Mwanaspoti.
0 comments:
Post a Comment