Picha: Diamond Afurahia Zari Kuwa na Ujauzito

Hatimaye Nassib Abdul Diamond Platnumz jana kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram aliweka picha ambayo imezua maswali mengi sana juu ya ujauzito alionao mwanadada ZARI ambao ni fika utakuwa wa kijana huyu.
Usiku wa jana, Dimaond aliweka ujumbe unaosema “I can not wait to have you on my hands #Chibu_Junior” akimaanisha “siwezi kusubiri kukuweka kwenye mikono yangu #Chibu_Junior” huku akiambatanisha na picha ya Ultra sound aliyopiga na Zari.
Je unafikiri hii inaweza kuwa “Project nyingine” au ni kweli wawili hawa wanatarajiwa kuwa wazazi?? Tupe maoni yako…
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment