![]() |
“Unene hali inayonivuruga sana jamani, siutaki kabisa, bora niacha usingizi nifanye mazoezi,” alisema Kajala. |
Staa wa filamu mwenye mvuto wa aina yake, Kajala Masanja amesema hapendi unene, anafanya mazoezi kuondokana na hali hiyo.
Amesema hapendi kuonekana na umbile kubwa, kwa sababu litamfanya ashindwe kufanya shughuli mbalimbali.
Alimwambia Mwandishi wetu kuwa, amejipangia ratiba, kila asubuhi anafanya mazoezi ya kupunguza mwili.
“Unene hali inayonivuruga sana jamani, siutaki kabisa, bora niacha usingizi nifanye mazoezi,” alisema.
0 comments:
Post a Comment