Watu zaidi ya watatu wamenusurika Kifo Baada ya gari yao kupata ajali Eneo la Lutukila mkoani Ruvuma katika barabara kuu ya Njombe -Songea wakielekea kumzika mbunge wa Mbinga Magharibi Kepten John Komba.
Ajali hiyo imetokea Majira ya saa 7 usiku wa kuamkia Leo na hakuna aliyepoteza Maisha zaidi ya kujeruhiwa katika gari hiyo kunadaiwa kulikuwa na watu watatu wawili wananawake na mmoja mwanaume
Credit: Kakunda forum
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment