Zitto Kabwe Apasua Jipu Baada ya Andrew Chenge Kukataa Kuhojiwa Mbele ya Baraza la Sekretarieti ya Maadili

Baada ya Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge, kukataa kuhojiwa mbele ya Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa umma juu ya tuhuma za kunufaika na fedha zilizotoka katika akaunti ya Tegeta Escrow.
Mheshimiwa Zitto Kabwe kupitia akaunti yake ya Twitter amendika haya;

"Moja ya adhabu Chenge anaweza kupewa ni kuzuiwa kabisa kushiriki katika uongozi wa umma. Jambo lolilopaswa kufanyika miaka mingi nyuma"
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment