![]() |
| Ofisa wa habari wa klabu ya Yanga Jerry Muro |
Yanga imepangwa kuanza mashindano hayo na klabu ya BDF X1 Botswana mchezo utakaopigwa mwezi ujao katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Ofisa Habari wa Yanga Jerry Muro alisema wakipata mechi hiz itakuwa kipimo tosha kabla ya kuwavaa Wabotswana hao.
Alisema wanafikiria kutafuta timu katika nchi za Malawi na Zambia ambako anaamini, soka lao ni nzuri.
“Tumepanga kutafuta mechi mbili za kimataifa tunaamini zitawajenga wachezaji wetu,” alisema Muro.

0 comments:
Post a Comment